RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA UGANDA
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili
uwanja wa ndege wa entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za
uhuru wa Uganda.
Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria shrehe za
Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala. Picha na Freddy Maro


0 comments:
Post a Comment