
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh.Gaudencia Mugosi Kabaka amekutana na viongozi wa juu Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji nchini, leo jijini Dar er Salaam. Hatua hiyo imepelekea kumalizwa kwa mgomo wa madereva hao ambapo Waziri Kabaka ametangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori nchini kwenda kusoma tena udereva katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
0 comments:
Post a Comment