Saturday, June 27, 2015

Saturday, June 27, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Rais Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Muadhama kardinali Polycarp Pengo(wa kwanza kushoto) kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani. Hafla hiyo ilifanyika  jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Rais Kikwete, Waziri Membe, Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry wakiwa kwenye picha ya pamoja katika sherehe hizo.

0 comments: