Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari nchini (TPA), Awadh Massawe (wa kwanza kushoto) akiendesha kikao cha wadau wa mamalaka hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Vikao hivyo vinalenga kujenga mahusiano ya karibu na wadau wa bandari,kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuifanya kuwa shindani katika ukanda wa Afrika.
Tuesday, April 7, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment