Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam, jana 29/06/2015.
Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu.
0 comments:
Post a Comment