Wednesday, September 30, 2015

Wednesday, September 30, 2015
Namelok Moringe Sokoine akiwasili katika uwanja wa Nanja tayari kwa uzinduzi wa kampeni.
 

Wananchi wa Monduli wakiwa katika mkutano huo.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro (kulia) akimkabidhi ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli Mkoani Arusha kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine wakati wa uzinduzi wa jkampebni zake uliofanyika Monduli jana.

0 comments: