Monday, September 14, 2015

Monday, September 14, 2015
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza katika mkutano wa kujadili amani  kati ya viongozi wa dini, viongozi wa siasa na jeshi la Polisi. Mkutano huo umefanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.

 Mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa na UNDP, Alvaro Rodriguez akizungumza katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 Baadhi ya viongozi wa Siasa na viongozi wa dini waliohudhulia katika mkutano huo.

 Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kipindi cha kwanza katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

0 comments: