Gari la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie katika kijiji cha Kisumba.
Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitiaChadema, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.

Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti ili kumuona mgombeamwenza wa Ukawa wakati akihutubia wakazi wa kijiji cha Kisumba Rukwa.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (mbele) akiongoza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni katika Kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya wananchi kuzuia msafara wa mgombea huyo.
Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwa umesimama katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa baada ya wananchi kuusimamisha katika kijiji hicho.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya kuzuia msafara wake.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya kuzuia msafara wake.
Wananchi wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiagana na Ofisa wa Polisi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwa amembeba mtoto, Amon frednard wa kijiji cha Kipwa aliyekuja kupata matibabu katika zahanati ya kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa. Kulia ni mama yake mzazi, Neema Clement.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akikagua zahanati ya Kasanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa. Kulia ni tabibu msaidizi wa Zahanati hiyo, Eliudi Humbo.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akipata maelezo kutoka kwa tabibu msaidizi wa zahanati ya Kasanga, Eliudi Humbo alipotembelea zahanati hiyo kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwajulia hali wananchi waliofika kupata huduma katika zahanati ya Kasanga iliyopo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.
Jengo la zahanati ya Kasanga.
0 comments:
Post a Comment