
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (Jukata), Deus Kibamba
Utaratibu mpya wa kuruhusu wajumbe wa Bunge
Maalumu la Katiba watakaokuwa nje ya Bunge hilo siku ya kupiga kura
wafanye hivyo kwa kutumia mtandao umepingwa na wananchi wa kada
mbalimbali nchini.
Uamuzi huo ulipitishwa na azimio la Bunge hilo baada ya mwenyekiti wake
kuliongoza kufanya.
Habari Kamili
Habari Kamili
0 comments:
Post a Comment