Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kikao cha Wake
wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kichozungumzia masuala ya saratani
ya shingo ya kizazi, saratani ya matiti na saratani ya tezi la kiume
huko New York tarehe 24.9.2014.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete akisalimiana na Mama Penehupifo Pohamba, Mke wa Rais wa
Namibia muda mfupi kabla ya kuhudhuria mkutano Wake wa Marais na Wakuu
wa Nchi za Afrika kuhusu masuala ya saratani ya shingo ya kizazi,
saratani ya matiti na saratani ta tezi la kiume (prostate cancer) huko
New York tarehe 24.9.2014. Mkutano huo umefadhiliwa na Umoja wa Mataifa
kwa kushirikiana na Taasisi ya Princess Nikky Global Initiative ya
nchini Nigeria.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Debby Rechler (wa
kwanza kulia) akifuatiwa na Yvonne Feinstein ambao ni wafanyakazi wa
Tanzania Children Fund wakati wa mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika
huko New York nchini Marekani tarehe 24.9.2014. Aliyesimama kushoto kwa
Mama Salma ni Jill Bishop, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TET
Foundation ya Marekani.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
0 comments:
Post a Comment