Alberto Moreno (katikati) na Jordan Henderson (kulia) wakilalamika baada ya kunyimwa penalti na refa Atkinson wakidai kuwa mchezaji wa Everton Barry kashika mpira.
Steven Gerrard (kushoto) akishangilia baada ya kufunda bao dakika ya 65 kipindi cha pili.
Steven Gerrard akishangilia.KLABU
ya Everton imetoka nyuma na kuambulia sare ya bao 1-1 na Liverpool
kwenye Ligi Kuu ya England. Wafungaji ni Steven Gerrard dakika ya 65,
Phil Jagielka dakika ya 90. Liverpool: Mignolet, Manquillo, Lovren, Skrtel, Moreno, Gerrard, Henderson, Markovic, Lallana, Sterling, BalotelliSubstitutes: Jones, Toure, Enrique, Lucas, Suso, Coutinho, Lambert
0 comments:
Post a Comment