MAN UTD YASHINDA 2 .ROONEY ALAMBWA KADI NYEKUNDU
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney akimuangusha chini Stewart Downing wa West Ham na kupelekea kuonyeshwa kadi nyekundu
Mshambuliaji waManchester United Wayne Rooney, katikati, akionyeshwa kadi nyekundu na mwamuzi Lee Mason baada ya kumuangusha Stewart Downing wa West Ham
WAYNE
Rooney amekuwa shujaa kwa kuifungia Manchester United bao moja katika
ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham leo uwanja wa Old Trafford.
Licha ya kazi hiyo nzuri, Rooney alisababisha United icheze ikiwa pungufu kufuatia kuoneshwa kadi nyekundu.
Nahodha
huyo wa mashetani wekundu alifunga goli la kuongoza katika dakika ya
tano na Robin van Persie aliongeza goli la pili katika dakika ya 22.
Sakho alitumia makosa ya mabeki wa United na kuwafungia wageni goli la kufutia machozi.
0 comments:
Post a Comment