Wanawake wa Brazil wakipinga utoaji mimba.
Polisi
katika mji mkuu wa Brazili,Rio de Jeneiro wamesema wameuvunja mtandao
mkubwa katika nchi hiyo wa kiliniki za utoaji mimba.
Kufuatia hali
hiyo karibu watu wapatao hamsini wamekamatwa na polisi,wakiwemo
madaktari,polisi na wanasheria.oparesheni hiyo ya kushtukiza linafuatia
idadi kubwa ya vifo na wanawake wawili walio tolewa mimba kinyume cha
sheria.Utoaji wa mimba nchini Brazili ni marufuku pengine kuwe na sababu kubwa ya kufanya hivyo kitabibu, pengine mwenye mimba albakwa,mama akiwa katika hatari ya kufa ama afya ya ubongo ikiwa haiko sawa.
0 comments:
Post a Comment