Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.
Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini
Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mufindi Kaskazini
Mwenyekiti
wa Wazee Waasisi wa CCM wilaya ya Mufindi Mzee Raphael Ngogo akisoma
risala ya Wazee kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Wajumbe wakiimba nyimbo za kumkaribisha Kinana.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa Dini
wilaya ya Mufindi ambao walialikwa kwenye mkutano mkuu wa CCM Jimbo la
Mufindi Kaskazini.
Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mufindi Dk.Boaz Mnenegwa
akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati
alipotembelea wodi ya kina mama hospitalini hapo.
Sehemu ya Wodi ya akina mama katika hospitali ya wilaya ya Mufindi.
Meneja
wa Shamba la SAO Hill Ndugu Salehe Beleku akizungumza mbele ya Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipotembelea ofisi ya SAO Hill
Mufindi
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitazama mti uliopandwa mwezi wa
kumi mwaka 1980 kwenye viwanja vya SAO Hill na Baba wa Taifa Mwl.Julius
Kambarage Nyerere
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu baada
ya kutembelea ofisi za SAO Hill wilayani Mufindi mkoa wa Iringa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka udongo baada ya kupanda mti wa kumbukumbu
baada ya kutembelea ofisi za SAO Hill wilayani Mufindi mkoa wa Iringa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipanda mti wa kumbukumbu nje ya ofisi ya SAO Hill wilaya ya Mafinga
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikusanya baadhi ya mabango
kutoka kwa wananchi wa Mafinga waliotaka ujumbe wao ufike kwa Katibu
Mkuu wa CCM
Katibu
Mkuu wa CCM akiangalia namna mbao zinavyotayarishwa kwenye kiwanda cha
mbao cha Emmanuel kinachomilikiwa na Ndugu Charles Emmanuel Akyoo
0 comments:
Post a Comment