Wednesday, April 15, 2015

Wednesday, April 15, 2015
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akionesha  kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) milipuko hatari  aina ya 'Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya  msikiti wa  Suni Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.

0 comments: