Tuesday, July 14, 2015

Tuesday, July 14, 2015
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Zakheem Mbagala, kwenye mkutano wa kujitambulisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambapo aliahidi kuwatumikia wananchi na kusimamia haki.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga ngoma za tumba pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kwenye jukwaa la bendi ya TOT mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuhutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam.

0 comments: