Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akihutubia katika Barala la Sikukuu ya Eid El- Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana ya Nyankumbu, mkoani Geita.
Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria Baraza la Sikukuu ya Eid El- Fitri, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bi Fatma Maswi, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia katika Baraza hilo lililofanyika Kitaifa Mkoani Geita.
Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia katika Baraza hilo
Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania, (BAKWATA) Suleiman Lolila, akizungumza, kabla ya kumkaribisha Kaimu Mufti.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bi Fatma Maswi, akizungumza kuwakaribisha wageni katika hafla hiyo ya Baraza la Sikukuu ya Eid El- Fitri.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Sheikh Haruna Abdallah Kichwabuta, akitoa neno la shukrani baada ya hafla hiyo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal kuhutubia.
0 comments:
Post a Comment