Msafara wa Mgombea Urais kwa tiketi Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Geita.
Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi na wana ccm waliojitokeza kumlaki mkoani Geita.
0 comments:
Post a Comment