Huku zoezi la kura za maoni Chama cha Mapinduzi likiendelea sehemu mbalimbali kwa wagombea wa ubunge na udiwani, leo tunaangazia kinyang'anyiro hicho katika jimbo la Iramba, mkoani Singida. Mbunge anayemaliza muda wake na Naibu Waziiri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba ameibuka na ushindi wa asilimia 99 na hivyo kutangazwa mgombea rasmi kwa tiketi ya CCM. Hapa chini tumekuwekea matokeo kwa kila Kata/kituo cha kura.
MASIMBA
Mwigulu 88
Jairo 1
Kilimba 0
Amon 0
MLANDALA
Mwigulu 50
Jairo 0
Kilimba 3
Amon 0
MANG'OLE
Mwigulu 173
Jairo 6
Kilimba 0
Amon 0
MSAI
Mwigulu 294
Jairo 35
Kilimba 59
MALUGA
Mwigulu 322
Kilimba 5
Jairo 0
UWANZA
Mwigulu 172
Jairo 8
Kilimba 23
Amon 2
NGANGURI
Mwigulu 727
Kilimba 2
Jairo 2
Amon 0
0 comments:
Post a Comment