NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh.Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo ya awali ya askari polisi na uhamiaji,zilizofanyika leo kwenye Chuo cha Taaluma ya PolisiMoshi.
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika mahafali hayo.
Baadhi ya viongozi wa Jeshi la Polisi wakifuatilia maonesho ya askari.
Askari Polisi wahitimu wakionesha umahiri wa kucheza Karate.
Askari Polisi wahitimu wakionesha Umahiri katika kutumia pikipiki wakati wa kudhibiti uhalifu.
0 comments:
Post a Comment