Sunday, August 9, 2015

Sunday, August 09, 2015


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuashiria kuzindua rasmi kivuko cha MV.Mafanikio, Msangamkuu mjini Mtwara leo.

Kivuko cha MV Mafanikio kilichozinduliwa Rais Dkt Jakaya Kikwete mapema leo mkoani Mtwara. 

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa Msanga Mkuu-Mtwara vijijini mara baada ya kuzindua kivuko cha MV Mafanikio chenye uwezo wa kubeba watu 100 na magari sita.

0 comments: