Monday, August 24, 2015

Monday, August 24, 2015
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo (kulia) akikumbatiana na Said Nkumba(aliyekuwa Mbunge wa Sikonge CCM kabla ya kushindwa kwenye kura za maoni na baadae kuhama chama) baada ya kurejea katika chama hicho siku chache tangu kukihama na kujiunga na Chadema walipohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea urais wa CCM, uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam jana.

0 comments: