Monday, September 7, 2015

Monday, September 07, 2015
Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro,jana Jumapili.

 Sehemu ya umati mkubwa wa wananchi  uliojitokeza jana kwenye Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho.

0 comments: