Saturday, September 5, 2015

Saturday, September 05, 2015

 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba,wakielekea kuketi kwenye nafasi zao wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, leo Septemba 4, 2015 jijini Dar es Salaam.

 Waziri Kabaka akitoa hotuba kwenye shughuli ya uzinduzi wa Bodi hiyo

0 comments: