Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) wakiendelea na zoezi la
kuopoa miili ya watu waliopata ajali ya mitumbwi katika Kijiji cha Kalalangabo
baada ya mitumbwi waliyokuwa wakisafaria kuzama.
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kigoma wakiwa katika eneo la ajali wakiangalia
zoezi la uopoaji wa miili mbalimbali iliyopatikana kutoka Ziwa Tanganyika
kufuatia ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana. Kutoka kuhoto ni Amani Kaburu,mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma,Mkuu wa Mkoa wa Kigoma
Issa Machibya.KatibuTawala Mkoa John Ndunguru na Mkuu wa Wilaya
ya Kigoma Ramadhan Maneno.
0 comments:
Post a Comment