Mfuko
wa akiba wa GEPF umesema baaada ya Bunge la Jamhuri kupitisha sheria
mpya ya mfuko huo utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa
mafao ya muda mrefu huku mfuko huo ukifikisha thamani ya shilingi
bilioni 198.38 ukiwa na wanachama zaidi ya 62,000.
Monday, October 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment