Friday, October 24, 2014

Friday, October 24, 2014
        
GARI LA DALADALA LIKITOKA KATIKA KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA MAWASILIANO
BAADHI YA MAGARI YA DALADALA
 KATIKA KITUO KIPYA KINACHOJULIKANA KAMA SINZA TEMINAL ENEO LA MAWASILIANO 

ABIRIA WAKIWA KATIKA KITUO KIPYA CHA DALADALA


MAGARI YAKICHEKIWA

HATA MABASI YA UDA YAPO KATIKA KITUO HICHO

BAADHI YA ABIRIA WAKIHANGAIKA KUTAFUTA KIBAO KINACHOANDIKWA SEHEMU ANAYOKWENDA

0 comments: