Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukuletea habari na matukio kwa wakati muafaka,kama ambavyo tumekuwa tukijitahidi awali. Tatizo hili limetokea kutokana na sababu ambazo ziko nje ya udhibiti wetu kwa wakati huo. Hata hivyo, tunaahidi kuendelea na utendaji wetu wa kawaida, na tutaendelea kuuboresha zaidi kadiri itakavyohitajika,ili kukidhi mahitaji ya wadau na wasomaji wetu!
TIMU YA DURUSADIFU : Alhamisi Oktoba 23,2014 saa 8:30 mchana.
0 comments:
Post a Comment