Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na
Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala
na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge wa Tumbe Mhe Rashid
Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni
Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini
China na Vietnam jijini Hanoi jana Oktoba 28, 2014Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji wake katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini
China na Vietnam jana Oktoba 28, 2014Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wenyeji wake katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini
China na Vietnam jana Oktoba 28, 2014Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Kilimo, Chakula na
Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania nchini China
Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea
nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na
Vietnam jijini Hanoi jana Oktoba 28, 2014PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment