Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa
Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014.
Picha na OMRMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa
Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba (kulia) wakati
walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba
22, 2014. Picha na OMRMakamu

akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa UBA Tanzania, baada ya
mazunguzmo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,
jana Oktoba 22, 2014. Picha na OMRMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya UBA Tanzania, General
Robert Mboma, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Home
»
Habari
»
Matukio
» MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA UBA TANZANIA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR
Thursday, October 23, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment