nbc4
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu  (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo.
Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimsindikiza  Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa Bi. Mizinga Melu  alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete  katika picha ya kumbukumbu na  Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Bi Mizinga Melu  (wa pili kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa  NBC, Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays Africa, Bi Mizinga Melu (wa pili kushoto), alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi. Rukia Mtingwa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji  wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Bw. William Kallaghe. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni. (PICHA NA IKULU).