Sunday, November 9, 2014

Sunday, November 09, 2014
images

Khamis Kayumbu ‘Amigolasi mwanamuziki aliyewahi kutamba na bendi ya African Stars Twanga Pepeta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwenye Hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na magonjwa ya Moyo, Amigolasi mara ya mwisho alikuwa ni mwanamuziki wa bendi ya JKT Ruvu Stars baada ya kuhama akitokea Afrcan Stars Band yenye makazi yake Kinondoni jijini Dar es salaam, Taarifa zinasema msiba uko Mburahati na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho muda wa saa sita mchana

0 comments: