Thursday, March 19, 2015

Thursday, March 19, 2015
Ajali nyingine iliyohusisha mabasi mawili imetokea Mikumi, Morogoro na inasemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 wako mahututi. Sababu ya ajali hiyo inasemekana kuwa ni mwendo kasi. Durusadifu inafuatilia taarifa zaidi za ajali hii. Tunawapa pole  wote waliofikwa na misiba ya wapendwa wao na tunamuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Tunawaombea  majeruhi wote wapate nafuu haraka.


 

0 comments: