Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary kuwa mrithi wake wa kiti cha ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini.
0 comments:
Post a Comment