Monday, August 24, 2015

Monday, August 24, 2015
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akikabidhiwa fomu ya kugombea urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha Mjini Unguja leo.


Mgombea Urais wa Zanzibar (CCM) Dk. Ali Mohamed Sheing akiwapungia mikono wananchi katika gari maalum baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi ZEC kuchukua fomu  za kugombea urais leo.

0 comments: