Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (kushoto)
akielekea
kufungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na watunza
stoo wa
Jeshi la Polisi kutoka Mikoa na Vikosi vya Polisi kote Nchini
unaofanyika katika
Chuo cha Polisi Moshi.Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya
Moshi Dkt.Ibrahim Msengi
na Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi, Matanga
Mbushi.(Picha na Frank
Geofray-Jeshi la Polisi)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na
watunza
stoo wa Jeshi la Polisi wakiwa wanafuatilia hotuba ya Naibu
Inspekta Jenerali
wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (hayupo pichani) wakati
wa ufunguzi wa mkutano
huo unaofanyika katika Chuo cha Polisi
Moshi.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (katikati)
akiteta jambo
na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Dkt.Ibrahim Msengi wakati wa
ufunguziwa
mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na watunza stoo wa
Jeshi la Polisi
kutoka Mikoa na Vikosi vya Polisi kote Nchini
unaofanyika katika Chuo cha
Polisi Moshi. Kushoto ni Kamishna wa fedha
na logistiki Clodwig Mtweve.
0 comments:
Post a Comment