Tuesday, September 30, 2014

Tuesday, September 30, 2014

PICHA 1

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipiga kura yake kwa ajili ya rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo Dodoma leo Septemba 30, 2014

PICHA 2 























Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Hassan Suluhu akipiga
kura yake kwaajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba,
2014 mjini Dodoma.

PICHA 3





















Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, 
Mhe. Seif Ali Idd akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo
leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.


PICHA 4























Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge
akipiga kura yake kwa ajili ya rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo
30 Septemba, 2014 mjini Dodoma

PICHA 5 


















Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati namba Tano ya Bunge Maalum la 
Katiba, Mhe. Asha-Rose Migiro akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo 
leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

PICHA 6 




















Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge 
Maalum la Katiba,Mhe. Fenella Mukangara akiipigia kura Rasimu ya Katiba 
inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30Septemba, 2014 mjini Dodoma.

PICHA 7 (2) 




















Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa 
Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Juma Nkamia akiipigia kura Rasimu ya Katiba 
inayopendekezwa Bungenihapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

8 

























Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu akiipigia kura Rasimu ya
Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

9 

























Waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. 
Hawa Ghasia akiipigikura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 
30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

10

























Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Shymar Kwegir akiipigia kura Rasimu
ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

0 comments: