Ajali AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO NA LORI DARAJA LA MTO WAMI Friday, October 31, 2014 Unknown Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na lori la mizigo katikati ya daraja la Mto Wami mkoani Pwani.Dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.
0 comments:
Post a Comment