Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini anayemaliza muda wake, Philemoni Ndesamburo akizungumza na wajumbe wa mkutano huo.
|
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Moshi mjini wakiwa katika mkutano maalumu wa kumchagua mgombea atakaye peperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu nafasi ya Ubunge jimbo la Moshi mjini.
Jafary Michael mteule wa Chadema kugombea kiti cha Ubunge jimbo la Moshi mjini. |
0 comments:
Post a Comment