Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman,
Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said (kushoto kwake) baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal
Airport kwa ziara ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio Oman baada ya kuwasili kwenye hoteli ya AL Bustan Palace mjini Muscut kuanza ziara ya siku mbili nchini humo, Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment