Msanii
nyota wa filamu nchini, Jack wa Chuz akimtunza msanii mwenzake, Rose
Ndauka Sherehe hiyo ya Rose, ambaye alizaliwa siku moja na Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, ilishuhudia mastaa wengi wa kike walioalikwa, licha ya
kunywa na kula kwa kadiri walivyojisikia, lakini pia wakiwa wamevalia
vivazi vilivyoonyesha sehemu kubwa ya miili yao
Msanii wa filamu nchini, Mayasa(kushoto) akitoa sapoti ya kufungua shampeni katika sherehe hiyo ya bethidei ya Rose Ndauka. Katika pati hiyo kulikuwa na vinywaji vyenye kilevi na visivyo na kilevi, huku pia vyakula vya aina mbalimbali vikipatikana, kiasi kwamba hadi gazeti hili linaondoka, pombe na vyakula bado vilikuwepo.

Lakini kivutio zaidi kwenye shughuli hiyo iliyoshuhudia pia Mussa
Issa ‘Cloud’ anayekaimu uongozi wa Bongo Movie Unity akiutangaza upya
umoja wao, alikuwa ni shoga mkubwa wa Rose, Jacqueline Pentezel ‘Jack
Chuzi’ambaye alionekana ‘akimkogesha’ fedha rafikiye wakati wa kutoa
zawadi ulipowadia.
CHANZO: GLOBAL PUBLISHERS
0 comments:
Post a Comment