Basi la kampuni ya Princess Muro linalofanya safari zake kati ya Arusha na Dar es Salaam limepata ajali jioni ya leo eneo la Mbwewe, mkoa wa Pwani.
Taarifa za awali zinasema kuwa ajali hiyo imetokana na basi hilo kupasuka gurudumu la mbele hali ambayo ilipelekea basi hilo kupoteza muelekeo.
Hata hivyo, mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kifo isipokuwa majeruhi.
0 comments:
Post a Comment