Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabidhi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari.Kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha nchini Suleiman Nyambui.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana
0 comments:
Post a Comment