Thursday, March 26, 2015

Thursday, March 26, 2015
2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group,Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchini lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam Machi 26,2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.


3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia) na balozi wa China nchini, Lu Youqing baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salam Machi 26, 2015.

4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng ,ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam leo.

5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia kwake ) pamoja na ujumbe wake,balozi wa China nchini, Lu Youqing (wa kwanza kulia),baada ya kuzungumza na uongozi wa kampuni hiyo  ofisini kwake . 

6
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiongea na ujumbe kutoka  Kampuni ya China Merchant Group na balozi wa China nchini, Lu Youqing,baada ya kufanya mazungumzo nao ofisini kwake leo Machi 26, 2015.

0 comments: