Hatimaye kama ilivyoarifiwa awali, barabara ya msimbazi kariakoo imefungwa rasmi leo ili kupisha upanuzi na ukarabati ili kuweka njia zitakazotumika kwa ajili ya mabasi ya mwendo kasi.
Mwandishi wetu ameshuhudia barabara hiyo ikiwa imefungwa kabisa kuanzia kilipokuwa kituo cha daladala cha msimbazi, huku kuanzia benki ya posta tawi la Kariakoo barabara hiyo imefungwa upande mmoja na kuruhusu magari kutumia upande mmoja.

0 comments:
Post a Comment