Friday, April 10, 2015

Friday, April 10, 2015

Valle Verzasca, Switzerland

Maji masafi ya mto Verzasca hutiririka kwa kilometa 30 katika bonde hili la miamba kusini mwa Switzerland.Bwawa lenye jina hilo hilo, lilitumika kwenye sinema ya James Bond ya GoldenEye,huzuia mto kuendelea kutiririsha maji yake na kufanya bwawa la Lago di Vogorno.

Sabah, Malaysia

Sehemu nyingine iko ndani ya Malaysia,kwenye ukanda wa magharibi wa Borneo. 

Kijito cha Pupu, New Zealand

Ikiwa juu ya kisiwa cha Kusini, kwenye Golden Bay, inaaminika chemichemi hii hutoa lita za maji masafi "14000 kwa sekunde.

0 comments: