Huko Uingereza leo imepigwa michezo kadhaa katika mwendelezo wa ligi kuu ya nchini humo. Na hapa tunakuletea matokeo ya mechi zilizokwisha kamilika
Swansea 1-1 Everton
Southampton 2-0 Hull
Sunderland1-4 Crystal Palace
Tottenham 0-1 Aston Villa
West Brom 2-3 Leicester
West Ham 1-1 Stoke
0 comments:
Post a Comment