Monday, May 25, 2015

Monday, May 25, 2015

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  akizindua kitabu cha ukekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.Kulia kwake ni Mbunge wa Kawe(Chadema) Mh. Halima Mdee
 
 
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwenye mkutano wa hadhara  wa chama hicho uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kitabu cha utekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.

 
 Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia.
 Sehemu ya watu waliohudhuria mkutano huo.

0 comments: