Mh January Makamba akipokea fomu ya watu waliomdhani Mkoa wa Shinyanga ambao walikua zaidi ya 600.
Mke wa Mh January Makamba akitia saini katika kitabu cha wageni Ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga
Mh January akizungumza na wakazi wa Shinyanga waliojitokeza kumsikiliza katika viwanja vya CCM wilaya ya Shinyanga.
Mbunge wa Shinyanga Mjini Steven Masele akimnadi Mh January Makamba kwa Wakazi wa Shinyanga.
0 comments:
Post a Comment