Kikundi Bora cha Mwaka Bongo Fleva- Yamoto Band
Kikundi Bora cha Mwaka Taarab- Jahazi Modern Taarab
Wimbo Bora Wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania- Mrisho MPOTO
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bendi- AMOROSO
Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Taarab- ENRICO
Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bongo Fleva- NAHREEL
Bendi Bora ya Mwaka- FM Academia
Mtunzi Bora wa Mwaka Hip Hop- Joh MAKINI
Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia - Barakah Da Prince
Mtunzi Bora wa Mwaka Bongo Fleva- Ali KIBA
Mtunzi Bora wa Mwaka Taarab- Mzee Yusuph
Wimbo Bora wa Afrika Mashariki - 'Sura Yako' ; Sauti SOL
Msanii Bora wa Hip Hop- Joh MAKINI
Rapa Bora wa Mwaka Bendi- FERGUSON
Wimbo Bora wa Reggae/ Dance Hall- Maua SAMA
Wimbo Bora wa Hip Hop- Kipi Sijasikia ;Prof. JAY-
Wimbo Bora wa R&B- 'Sisikii' JUX
Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi- 'Walewale' FM Academia
Wimbo Bora wa Mwaka- 'Mwana' Ali KIBA
Wimbo Bora wa Mwaka wa Taarab- 'Mapenzi Hayana Dhamana' ; Isha MASHAUZI
Mwimbaji Bora wa Kiume Bendi - Jose MARA
Mwimbaji Bora wa Kike Taarab: Isha MASHAUZI
Msanii Bora wa Kiume Taarab- Mzee YUSUPH
Mwimbaji Bora wa Kike Bongo Fleva - Vanessa MDEE
Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Mwaka - Vanessa MDEE
Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Kiume wa Mwaka - Ali KIBA
0 comments:
Post a Comment